BREAKING NEWZZZZ---Mhe.RAIS Amuachisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa PCCB ...
Katika taarifa kwa vyombo vya habari mchana huu,Mhe.Rais Dkt.JP Magufuli amemuachisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU-Dr.Edward Hosea na nafasi yake atakaimu naibu wake Ndg.Valentino Mlowola.
No comments:
Post a Comment