![]() |
| Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiingia ukumbi wa Bunge siku ya kupitishwa bajeti ya Wizara hiyo mwishoni wa wiki mjini Dodoma. |
![]() |
|
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki akitoa
hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka
2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
|
![]() |
| Wabunge wakiendelea na kikao cha Bunge cha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma |











No comments:
Post a Comment