Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.Picha/Ikulu.




No comments:
Post a Comment