Trending News

CCM Adverts and Promo

Thursday, April 14, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO KUJADILI BIASHARA NA SEKTA BINAFSI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS Bw. Raymond Mubayiwa kabla ya kufungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo umefunguliwa leo jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na watendaji na washiriki wa Mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii baada ya kufungua Mkutano huo le katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments:

Post a Comment