Trending News

CCM Adverts and Promo

Thursday, April 28, 2016

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA USO KWA USO NA WABUNGE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi (kulia) wakati akimuuliza swali katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni Mjini Dodoma
Mbunge wa Welezo,Mhe. Saada  Salum Mkuya akichangia Bungeni Mjini Dodoma 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe.Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.Picha/PMO

No comments:

Post a Comment