Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo
(kati) akiwasili jijini Dar es salaam jioni
hii, akitokea Jijini
Kampala alikoenda kukamilisha dili la bomba la mafuta kutoka Uganda hadi
Tanga, alioongozana nao ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kulia) pamoja na
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk. Juliana
Pallangyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, Dk. Juliana Pallangyo (wa pili kulia) pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC.Picha/ Wizara ya Nishati na Madini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo, akionyesha kwa wanahabari, mpango wa ujenzi wa Bomba la Mafuta
kutoka nchini Uganda mpaka Jijini Tanga, mara tu baada ya kuwasili nchini
akitokea jijini Kampala. Mbali na kunufaika kwa Watanzania kupitia Mpango
huo, pia utazinufaisha nchi nyingine
za Afrika Mashariki na Kati.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, Dk. Juliana Pallangyo (wa pili kulia) pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC.Picha/ Wizara ya Nishati na Madini.

No comments:
Post a Comment