Trending News

CCM Adverts and Promo

Friday, May 27, 2016

LEO KATIKA BUNGE



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Mtama akiwa katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo..


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Eng. Hamad Masauni wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo.
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Andrew Chenge akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya Bunge hilo leo.


Mbunge wa CCM Jimbo la Pangani, Mhe. Jumaa Aweso (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge.

Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Mlimba, Mhe. Susan Kiwanga akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo.

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma



Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Mhe. Dkt. Elly Macha (kulia) akisaidiwa kuingia Bungeni mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo .
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Namtumbo, Mhe. Edwin Ngonyani akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo 27 Mei, 2016 kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo

 Mbunge wa CCM Jimbo la Hanang, Mhe. Dkt. Mary Nagu akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo 27 Mei, 2016 kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo 27 Mei, 2016 kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akichangia hoja kuhusu swali lililohusu malipo kwa Wastaafu ndani ya Bunge mjini Dodoma.

(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma)

No comments:

Post a Comment