Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, May 2, 2016

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) NDUGU PHILIP MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA WATU WA CHINA.



Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo wa Nje wa Chama cha CPC Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma ambapo walizungumzia mahusiano imara kati ya Tanzania na China pamoja na mipango mbali mbali ya kimaendeleo

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mambo eya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Watu wa China Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment