Wabunge wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa Fedha 2016/2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista
Joakim Mhagama akiwa nje ya mara baada ya kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa Fedha 2016/2017.
Baadhi ya Wabunge wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge.Picha/Aron Msigwa
No comments:
Post a Comment