|
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Joseph Nyamhanga mara
baada ya kuwasili katika daraja la Nyerere lililopo Kigamboni.
|
|
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete(wa pili kulia) akipokea
maelekezo kutoka kwa kwa Meneja Mradi wa daraja la Nyerere Mhandisi Karim
Mattaka wakati alipotembelea daraja la Nyerere lililopo kigamboni.
|
No comments:
Post a Comment