Balozi wa China, Dk. LU Youqing nchini Tanzania akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa MNH, Makwaia Makani.
Balozi Dk. LU Youqing akichangia kuchangia damu katika hospitali hiyo kwa lengo la kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu


No comments:
Post a Comment