Mwenyekiti wa CCM na Rais mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulahiman Kinana ( kushoto) Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha Kamati Kuu leo. Wengine ni Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan na Naibu Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson.

No comments:
Post a Comment