Trending News

CCM Adverts and Promo

Tuesday, June 7, 2016

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA SHILINGI BILIONI 12 YA BAKAA YA TUME YA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa (salio) ya tume hiyo zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam leo Juni 7, 2016.PICHA/IKULU

No comments:

Post a Comment