Trending News

CCM Adverts and Promo

Thursday, June 23, 2016

WAZIRI WA AFYA,MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO MHE. UMMY MWALIMU AFUNGUA MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC

Waziri wa afya,maendeleo ya Jamii,Jinsia,wazee na watoto wa Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu (katikati) kifungua mkutano wa 12 wa baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Tanzania,Dkt.Mpoki Ulisubyisya akiwasilisha mada kwenye mkutano huo.
Baadhi ya mawaziri wa baraza hilo wakiwa Kweye picha ya pamoja.
 Mawaziri wa  afya za nchi za  Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa pamoja wa majadiliano kuhusu maendeleo endelevu ya kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment