Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa
Wahandisi (ERB), Mhandisi Profesa. Ninatubu Lema na Balozi wa Norway hapa nchini Mhe. Hanne –
Marie Kaarstad wakitia saini makubaliano ya msaada wa Dola za Kimarekani
milioni 2 kwa ajili ya kuwawezesha wahitimu wa Kike wa masomo ya Uhandisi
nchini kujiendeleza kwa kupata uzoefu na kusajiliwa kuwa Wahandisi kamili.
Programu inayoanza 2016 – 2021. Wanaoshuhudia utiwaji wa saini ni Naibu Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani (nyuma
kushoto),
|
No comments:
Post a Comment