Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi) Dkt. L. Chamuriho (katikati) akimkabidhi
zawadi ya sanamu ya mnyama Faru Mwakilishi Mkuu wa Ubalozi wa China hapa nchini
Lin Zhiyong (kushoto) kwa niaba ya Balozi wa Chinahapa nchini (hayupo pichani)
walipotembelea Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa ajili ya kufanya
tathmini kama kinakidhi vigezo kuwa miongoni mwa Vyuo vitano vitakavyojengwa na
Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kufuatia dhamira ya Rias wa nchi hiyo ya
kujenga vyuo vikuu vitano vya usafirishaji barani Afrika leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkuu wa chuo hicho Profesa Zacharia Maganilwa.
Picha zote na: Frank Shija.
|
No comments:
Post a Comment