#Demokrasia ni muhimu lakini watu wamechoka kusikia demokrasi huku rushwa ikiendelea.
# Vyombo Vya Habari ndivyo vimeibua vitendo vya Rushwa Na kufanyiwa kazi.
# Tunataka Demokrasia inayoaminika ya kupambana Rushwa
#Tupo hapa kuangalia nini tumefanya katika Utawala BORA
# Tumetunga sheria ya kuwalinda watoa taarifa
#Tuhakikishe kile tutakachopata kwenye mkutano huu kinatumika duniani kote.
#Serikali na Wananchi lazima washirikiane katika masuala ya maendeleo.
# Mkutano wetu uonyeshe hatua tulizochukua katika kushirikisha wananchi katika masuala ya Maendeleo.
*IMEANDALIWA NA IDARA YA HABARI, MAELEZO, PARIS UFARANSA*
No comments:
Post a Comment