VIONGOZI WA
UMOJA WA WAZAZI
Umoja wa Wazazi Tanzania ambao hivi sasa unaongozwa na Alhaj Abdallah Majura Bulembo (MCC) MNEC ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa. Na makamu wake ni Bibi Dogo Mabrouk. Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo ni Ndugu Seifu Shaaban Mohamed.
Jumuiya ya Wazazi Tanzania ina manaibu Katibu wakuu wawili. Kutoka Zanzibar ni Bibi. Najma Murtaza Giga na Naibu Katibu kutoka Bara Ndugu Glorius Bernard Luwoga.

No comments:
Post a Comment