Nifuraha ya kipekee kwa wana-CCM wote baada ya mgombea wetu kushinda kwa kishindo uchaguzi wa kihistoria uliofanyika tarehe 25.10.2015.
CCM mbele kwa mbele #HapaKaziTu.
Furaha ya ushindi kwa RAIS mteule Dr.John Pombe Magufuli baada ya kuwashinda wapinzani kwa kura 8,882,935
No comments:
Post a Comment