Trending News

CCM Adverts and Promo

Friday, October 30, 2015

PONGEZI KWA RAIS MTEULE MH.DR.JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM- MOROGORO,Bi.MECKY MDAKU


Mwenyekiti wa JUMUIYA YA WAZAZI CCM-MKOA WA MOROGORO,Bi.Mecky Mdaku  anapenda kutoa pongezi za dhati kutoka kwa wanachama wote wa CCM mkoa wa Morogoro kwa ushindi mnono alioupata RAIS mteule Dr.John Pombe Magufuli na kumtakia kila la heri katika kutimiza ahadi zote kwa Watanzania wote na kuleta kiu ya mabadiliko ya kweli.
VIVA DR.JP MAGUFULI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


No comments:

Post a Comment