Trending News

CCM Adverts and Promo

Thursday, November 19, 2015

MHE.JOB NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE

Mh.Job Ndugai amechaguliwa rasmi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Spika-Mh.Job Ndugai (Mb)



Uongozi wa Jumuiya ya Wazazi CCM-Morogoro,chini ya Mwenyeketi Mecky Mdaku wanapenda kutoa pongezi za dhati kwa kushinda kiti nyeti cha uongozi wa bunge.


Pia wanampongeza Dkt.Tulia Ackson Mwansansu kwa kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge.

Naibu Spika-Dkt.Tulia Ackson



No comments:

Post a Comment