Uteuzi wake umethibitishwa na Bunge leo hii baada ya kupigiwa kura nakupata 73%.
Mh.Kassim Majaliwa ataapishwa rasmi kesho katika Ikulu ndogo ya Rais,Chamwino-DODOMA ,shughuli hii itafanywa na Mh.Rais,Dkt.John Pombe Maguffuli.
Mh.Kassim Majaliwa-Waziri Mkuu
Mwenyekiti wa Jummuiya ya Wazazi CCM-Morogoro,Bi.Mecky Mdaku anapenda kumpongeza kwa dhati Mh.Kassim Majaliwa na kumtakia kila kheri katika utekelezaji wa majukumu ya kitaifa.
Mungu ibariki Tanzania !!!!!

No comments:
Post a Comment