Trending News

CCM Adverts and Promo

Sunday, November 15, 2015

WATATU WAPENYA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA

Mchuano umebaki kwa Ndg.Job Ndugai,Ndg.Abdallah Mwinyi na Dkt.Tulia Ackson ambao watapigiwa kura na kumpata mteule mmoja atakayekiwakilisha Chama chetu cha CCM kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#HapaKaziTu#

No comments:

Post a Comment