Huu ni mchakato wa kipekee tena kumpata mgombea wa USPIKA kutoka chama tawala cha CCM baada ya makada 18 mpaka sasa kuomba nafasi nyeti ya kuliongoza bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakika CCM ina hazina ya viongozi wenye weledi wa hali ya juu....tushikamane pamoja tuweze kujenga Tanzania mpya ambayo Watanzania wanaitamani.#HapaKaziTu
Tunawatakia kila la heri katika uteuzi wa kiti cha uspika na kushinda kwa kishindo ili Bunge liwe la kisasa zaidi.
https://www.facebook.com/RadioOneStereo/videos/873782552719421/
Hawa ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba ;Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu,Dk. Emmanuel Nchimbi ,Balozi Philip Marmo ,Ndugu Julius Pawatila,Ndugu Job Ndugai,Dk. Tulia Arkson,Dk. Medadi Majogolo Kalemani,Dk. Didas Masaburi,Ritta Mlaki,Veraikunda Urio ,Agnaes Festo Makune,Abdallah Ally Mwinyi,Chelestimo Simalimile Mofuga
No comments:
Post a Comment