Trending News

CCM Adverts and Promo

Sunday, December 13, 2015

BARAZA LA MAWAZIRI LIMEAPISHWA RASMI

Mhe.Rais, Dkt.John Pombe Magufuri amewapisha rasmi mawaziri aliowateua tarehe 1012/2015 nakuagiza waanze kazi kwa kasi na ufanisi kama alivyowanadi katika kampeni kuwa sasa ni muda wa kuchapa kazi tu "Hapa Kazi Tu".
Pia ameokoa zaidi ya bilioni mbili zilizotengwa kwaajili ya semina elekezi kwa mawaziri nakuagiza zitatumika katika huduma muhimu za kijamii.
Mhe.Rais Dkt.John Magufuri(katika),Mhe.Makamu wa Rais Bi.Samia Suluhu(Kushoto) 
na Mhe.Waziri Mkuu -Kassim Majaliwa.
BARAZA LA MAWAZIRI
Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri - George Simbachawene  
na Angella Kairuki Naibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.

Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na MazingiraWaziri - January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina

Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na WalemavuWaziri - Jenista Muhagama 
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Naibu Waziri wa Sera Bunge, Bunge Kazi, vijana, Ajira na Walemavu Dk Abdalla Posi Ikulu Dar es salaam.


Wizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviWaziri - Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri - William Ole Nasha




Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani

Wizara ya Fedha na MipangoWaziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri - Ashantu Kizachi

Wizara ya Nishati na MadiniWaziri - Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri - Medalled Karemaligo.

Wizara ya Katiba na Sheria,Waziri - Harrison Mwakyembe

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.Waziri - Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaWaziri - Dk. Hussein Mwinyi

Wizara ya Mambo ya NdaniWaziri - Charles Kitwanga

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Waziri - William Lukuvi
Naibu Waziri - Angelina Mabula

Wizara ya Maliasili na UtaliiWaziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.Waziri Charles Mwijage.

Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya

Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoWaziri - Ummy Mwalim
Naibu Waziri –  Dkt. Hamis Kigwangala

Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na MichezoWaziri - Nape Nnauye
Naibu Waziri - Anastasia Wambura.

Wizara ya Maji na UmwagiliajiWaziri – Prof. Makame Mbarawa 
 Naibu  Waziri– Inj. Isack Kamwela

No comments:

Post a Comment