Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mhe.Dr.John Pombe Magufuri amewateua Dr.Ramadhan Dau,Dr.Asharose Migiro na Ndg.Mathias Chikawe kuwa mabalozi....Vituo vya kazi watapengiwa mara baada ya taratibu za kidiplomasia.
![]() |
| Ndg.Mathias Chikawe |
![]() |
| Dr.Ramadhan Dau |
![]() |
| Dr.Asharose Migiro |
Kwaniaba ya Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro ,Mnykt.Bi.Mecktridis Mdaku anapenda kuwapongeza kwa kupewa kazi muhimu ya kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na nchi watakazopangiwa.



No comments:
Post a Comment