Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, February 15, 2016

JUMUIYA YA WAZAZI(M) MOROGORO YAADHIMISHA MIAKA 39 YA CCM KWA KISHINDO

Sherehe za kutimiza miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM imefanyika tar 5/02/2016 kimkoa katika wilaya ya GAIRO ikiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (M)Morogoro , Bi.Mecktridis Mdaku.

Sherehe hizo ziliambatana na shughuli za kijamii ambapo miti ilipandwa na usafi wa mazingira ulifanyika katika kilele hicho.

Buradani ya ngoma ilitia fora katika sherehe za miaka39 ya kuzaliwa CCM


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro,Mecktridis Mdaku  akipitia ripoti ya Jumuiya ya Wazazi CCM


Wanachama wa CCM wakishiriki kazi ya kupanda miti siku ya sherehe ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM



Hapa Kazi Tu !!!...Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Morogoro,Bi.Meckridis Mdaku akipanda mti.




Kauli mbiu ya mwaka huu ni "SASA KAZI, KUJENGA NCHI NA KUKIJENGA CHAMA.,"

No comments:

Post a Comment