Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM kata ya Mikocheni - jijini Dar es salaam mara baada ya kutangaza kurejea rasmi ndani ya chama hicho. Balozi Mwapachu alikihama Chama cha Mapinduzi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka jana.
Balozi Juma Mwapachu akitoa ya moyoni mbele Wanachama na Makamanda wa CCM mara baada ya kurudi kundini
TAMKO ALILOTOA MARA BAADA YA KUREJEA CCM.




No comments:
Post a Comment