Trending News

CCM Adverts and Promo

Thursday, March 31, 2016

SERIKALI KUTUMIA BILIONI 435 KUTEKELEZA MIRADI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI.


Meneja Wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)  Bw. Elineema Mkumbo akitoa wito kwa watanzania kuunga mkono juhudi za Serikali kufikisha nishati ya Umeme kwa watanzania wote kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini  Bw.Lutengano Mwakahesya.
 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini  Bw.Lutengano Mwakahesya akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ambapo zaidi ya Bilioni 435 zinatarajiwa kutumika kutekeleza miradi ya kupeleka umeme katika maeneo mbalimbali hapa nchini lengo likiwa kuwafikia watanzania wote. kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo bw. Frank Mvungi.

No comments:

Post a Comment