Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akimwapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar. Picha ya Chini Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein ( kushoto) akibadilishana mawazo na makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.


No comments:
Post a Comment