Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa ( kulia) kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa Mpya wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akisaini kiapo chake mara baada ya kuapishwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.mJohn Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan.



No comments:
Post a Comment