Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, March 28, 2016

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA RIPOTI YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Ukaguzi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad, Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ( katikati) Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan ( kulia), Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakipitia Taarifa ya Hesabu za Serikali waliyokabidhiwa na CAG Prof. Mussa Assad.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika Picha ya Pamoja na Watendaji wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

No comments:

Post a Comment