Mkurugenzi wa shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC) Dk.Ayoub Ryoba akiwasilisha taarifa ya shirika hilo kwa wajumbe wa wa kamati ya kudumu ya Bunge ya
huduma na Maendeleo ya jamii kuhusiana na upanuzi wa masafa ya usikivu kisarawe
Pwani.Wengine pichani ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape
Nnauye,Naibu Waziri wa wizara hiyo Bi.Anastazia Wambura na mwenyekiti wa kamati
hiyo Bw.Peter Serukamba
|
No comments:
Post a Comment