Trending News

CCM Adverts and Promo

Sunday, March 27, 2016

SIKUKUU YA PASAKA, RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AUNGANA NA WAUMINI WA KANISA LA KKKT AZANIA FRONT KWENYE IBADA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani wa Kanisa la Kiinjili ka Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kuhudhuria ibada ya Pasaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli wakishiriki Ibada hiyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
 Magufuli akizungumza na waumini na wageni mbalimbali
 waliohudhuria IBada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT Azania
 Front 
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt.Alex Malasusa akizungumza jambo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhutubia waumini na wageni mbalimbali waliohudhuria Ibada ya Pasaka katika kanisa la KKKT Azania Front Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa la KKKT Azania Front mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Pasaka.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtot Javiera Lymo mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es salaam. Picha/Ikulu.



No comments:

Post a Comment