Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo
jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za
Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan.
Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya safari za Anga
kati ya Tanzania na Kuwait. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan mara baada
ya kusainiwa kwa hati ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na
Kuwait leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait (Kushoto katikati).Wengine
katika picha hiyo ni Maafisa kutoka Tanzania na Kuwait.




No comments:
Post a Comment