Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, April 18, 2016

MKUTANO WA BUNGE KUANZA LEO MJINI DODOMA.

 
Mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza leo mjini Dodoma kwa shughuli zifuatazo; (i) Kiapo cha Uaminifu; (ii) Maswali; (iii) Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano (2016/17 – 2020/21).

Pia kitafanyika Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote (Ukumbi wa Bunge) pia Kikao cha pamoja cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Spika).

No comments:

Post a Comment