Trending News

CCM Adverts and Promo

Friday, April 15, 2016

TASWIRA ZA WIKI HII

TASWIRA MPYA YA JIJI: Nguzo za daraja jipya la Kigamboni kama zinavyoonekana nyuma ya Bandari ya Dar es salaam eneo la kurasini baada ya kukamilika. Daraja hilo lenye urefu wa mita 680 linatarajiwa kuzinduliwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Aprili 19, 2016.


UONGOZI BORA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Ruangwa alipofanya ziara yake Mkoani Lindi.  

No comments:

Post a Comment