WAZIRI WA NCHI,OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MHE.ANGELA KAIRUKI AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb)
(kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala
Gilsenan alipotembelea ofisini kwake mapema leo.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania
Mhe. Fionnuala Gilsenan (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb)
alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
No comments:
Post a Comment