Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema
wilayani Ruangwa.
anchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016.
anchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakizungumza na
mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara
wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la
uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment