Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, April 11, 2016

WAZIRI MKUU MHE.KASSIM MAJALIWA ATOA MISAADA MBALIMBALI WILAYANI RUANGWA

  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakikabidhi baiskeli kwa walemavu Kanisia  Ndaka (wapili kulia na na Rehema Mtachi (wapili kushoto)  kwenye uwanja wa michezo wa mjini Ruangwa Aprili.
1183  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la wilaya ya Ruangwa kakagua hali ya upatikanaji na bei za vyakula akiwa katika jimbo lake la uchaguzi Aprili 
1099  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary  Majaliwa  (wapilinkulia)  akitoa msaada wa shuka na mito kwa wazazi wote waliojifungua na waliokuwa wakisubiri kujifungua kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment