Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Jenerali Davis
Mwamunyange (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Katibu Mkuu, Wizara ya Ulinzi
na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima Bungeni mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa
vikao vya asubuhi vya bunge hilo 10 Mei, 2016.
|
No comments:
Post a Comment