Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata
ufafanuzi wa mikakati ya uwekezaji kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia
na jua kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO ya Japan, Bw. Norio
Shoji wakati alipokutana na ujembe wa kampuni hiyo ofisini kwake jijini
Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya
Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja zimekusudia
kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na
jua nchini. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana
na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO ya Japan, Bw. Norio Shoji
baada ya kukutana na Mtendaji huyo na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar
es salaam. Kampuni hiyo ikishirikiana na Kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited
inakusudia kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua
nchini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na
kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja zimekusudia
kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na
jua nchini. Waziri Mkuu alifanya mazungumzo na viongozi hao ofisini kwake
jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).




No comments:
Post a Comment