Rais Mstaafu wa Awamu
ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na
waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani
jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea
namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.
|
No comments:
Post a Comment