Trending News

CCM Adverts and Promo

Wednesday, July 20, 2016

KINANA AKAGUA LEO UKUMBI UTAKAOTUMIKA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Wengine kutoka kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi Rogas Romuli, na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.na kushoto ni Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbea Ng'enda

No comments:

Post a Comment