Mkuu
wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Meja Generali Issa Nassoro (kushoto)
akimkabidhi Bendera ya Taifa Mkuu wa Msafara wa timu teule za jeshi, Brigedia Generali,
Jairos Mwaseba leo jijini Dar es Salaam.Timu hizo zinatarajia kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki yatayoanza Agosti 5 hadi 18 Kigali,
Rwanda.
Mkuu
wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Meja Generali Issa Nassoro (kushoto)
akipokea jezi zitakazotumiwa na timu teule za jeshi mashindano ya Afrika Mashariki yanayoanza Agosti 5 hadi 18 Kigali,
Rwanda. Picha na Seleman Semunyu, JWTZ)



No comments:
Post a Comment