Sanamu Ya Askari jijini Dar es salaam Yafanyiwa usafi
Wafanyakazi wa Common
Wealth war Graves Commision wakisafisha sanamu la askari liliopo katikati
ya mji wa Dar es salaam ili kuwaenzi mashujaa waliopigana vita kuiletea Uhuru
nchi yetu. Picha Na Ally Daud.
No comments:
Post a Comment