DKT.ALI MOHAMED SHEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR
Rais Mteule wa
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi leo na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu
katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment