Katibu
Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo akimkabidhi funguo za gari jipya la wagonjwa Mbunge
wa Chalinze Ridhiwani Kikwete lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya shughuli ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Wilaya
ya Chalinze. Tukio hilo liMefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akishukuru na kufurahi mara baada ya kukabidhiwa gari la
kubebea Wagonjwa na Katibu Mkuu wa Ikulu Peter Ilomo aliyelikabidhi gari hilo kwa niaba ya Rais leo Ikulu jijini Dar es
Salaam.


No comments:
Post a Comment