Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana mkataba wa
makubaliano na Mwenyekiti wa Wadau wa
Maendeleo nchini ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia
nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird (kushoto) mara
baada ya kusaini makubaliano ya jumla ya Dola za Kimarekani milioni 665 zilizotolewa
na Wadau hao ili kusaidia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Mpango wa
Kunusuru Kaya Masikini nchini.
|
No comments:
Post a Comment