Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi (BLM) mara
baada ya kuwaapisha Viongozi hao hapo jana, kikao kilichofanyika leo
kiliwajumuisha Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri wote wa wizara 13 katika
ukumbi wa Baraza hilo Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment